Historia fupi ya klabu ya Yanga

Klabu ya Yanga ni moja ya vilabu vikubwa sana hapa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Ina mafanikio nje na ndani ya Tanzania. Siku ya leo klabu hii kubwa na yenye historia ndefu imetimiza miaka 84 sasa. Makala na Priva Abiud (Privaldinho) Miamba hii ya Jangwa ilianzishwa rasmi mnamo mwaka 1935. Hapo baadae kwenye mwaka 1936 klabu hiyo ikavunjika baada ya wajumbe wa kamati ya klabu kushindwa kuelewana. Wajumbe hao wakakubaliana kugawanya klabu hiyo na kuanzishwa klabu nyingine. Klabu iliyojiengua ilijulikana kama Queens FC ambapo baadae walijiita tena Eagles. Klabu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News