Historia yanukia Yanga

NA ZAINAB IDDY KLABU ya Yanga imepanga kuweka historia katika soka la Tanzania pale litakapofanya tukio la ‘Kubwa Kuliko’ Jumamosi ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam ambalo litatoa picha ya usajili wao wa msimu ujao. Siku hiyo itakuwa maalumu kwa wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuichangia timu yao fedha ambazo zitatumika katika kusajili wachezaji wa ndani na wa kigeni. Akizungumza alipotembelea ofisi za BINGWA zilizopo Sinza Kijiweni, Dar es Salaam, jana, Katibu wa Kamati ya Hamasa ya Yanga, Deo Mutta, alisema katika harambee hiyo, wanatarajia kuwaalika...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News