Hivi ndivyo utwala wa kikoloni ulivyokuwa

>>Naukumbuka mkono na Gavana Twining NA HILAL K SUED Ni wananchi wachache walio hai, ambao walipata nafasi ya kuushuhudia utawala wa kikoloni katika nchi hii. Hapa nasemea wananchi wote ambao walikuwa na umri wa kiasi cha kukumbuka siku ya uhuru Desemba 9 1961 – yaani wale ambao siku hiyo waliokuwa na umri kati miaka angalau 12 na kwenda juu (yaani sasa hivi wenye umri wa miaka 70 na kwenda juu). Hawa nadhani idadi yao haizidi asilimia 10 au chini – yaani chini ya watu milioni 5.  Madhumuni ya makala hii...

read more...

Share |

Published By: Rai - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News