Hoja za Nassari zaibua mjadala

*Agoma kuulizwa maswali na waandishi wa habari ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM HATUA ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema) kuvuliwa ubunge na namna alivyojitetea mbele ya waandishi wa habari, imeibua hoja nyingi  kwa wachambuzi, wasomi na wananchi wa kawaida. Wachambuzi hao wametoa maoni tofauti kuhusu namna bora ya kushughulikia suala hilo, huku wakishauri Bunge kurejea uamuzi wake wa kusimamisha ubunge wa Nassari. Akizungumza na waandishi wa habari   Dar es Salaam jana, Nassari hakutaka kuulizwa maswali kwa kile alichokieleza amevurugwa, hivyo kabla ya kuanza kuzungumza alitahadharisha  asingepokea swali lolote....

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 18 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News