Hospitali ya Benjamini Mkapa kuzindua maabara ya Moyo

HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH), kesho inatarajia kuzindua rasmi maabara ya upasuaji magonjwa ya moyo ikiwemo matundu na kuziba kwa mishipa. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Akizungumza leo tarehe 11, Februari 2019, Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo katika hospitali hiyo, Dk.Wilfred Rutawile alisema wameanza kufanya uchunguzi na kuzibua mishipa ya damu na tayari ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Monday, 11 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News