Huko Yanga ishu si jina, CV ndo mpango mzima

WAKATI wagombea walioenguliwa kwenye usaili katika uchaguzi wa Yanga kesho Jumatano wakianza kuwasilisha rufani zao dhidi ya Kamati ya Uchaguzi kwenye Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya TFF, mshambuliaji nyota wa zamani wa Yanga na mwanachama wa klabu hiyo, Makumbi Juma ‘Homa ya Jiji’ ametoa rai kwa wapiga kura katika uchaguzi huo....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 23 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News