Huyu jamaa akitua tu Simba mtakoma

KATIKA kuhakikisha safu ya ushambuliaji ya kikosi cha Simba inakuwa tishio, mabingwa hai watetezi wa Ligi Kuu wamepanga kumleta straika matata kutoka Congo ambaye anakipiga Zambia na walikuwa wakimsaka kabla ya dirisha la usajili wa ndani na ule wa Shirikisho la soka Afrika (CAF) kufungwa ili waweze kumtumia katika mashindano ya kimataifa....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Tuesday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News