IGP Sirro Aridhishwa Na Ujenzi Wa Nyumba 10 Za Askari Polisi Shinyanga

SALVATORY NTANDUMkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)  Simon Sirro ameipongeza kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Shinyanga kwa Usimamizi mzuri katika ujenzi wa nyumba 10 za askari polisi ambazo zimegharimu shilingi milioni 225.Pongezi hilo amezitoa leo baada ya kutembelea na kukagua nyumba hizo za kisasa za makazi ya askari polisi zilizojengwa katika eneo la Kambi ya polisi Kambarage Mjini Shinyanga baada ya kuridhishwa na ujenzi wake.Amesema nyumba kwa sasa Serikali inajenga nyumba zingine za makazi ya askari polisi 400 na mpaka sasa zilizokamilika ni 114 ambazo zinajengwa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News