Inna Lillah Waina Raujun Mzee Wetu Ali Juma Shamuhuna

Kwa Mujibu wa Taarifa zilizotufikia Mzee Wetu Ali Juma Shamuhna amefariki dunia leo jioni na aliyekuwa Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika nyazifa mbalimbali Zanzibar amefari leo jioni. Na maziko yake yanatarajiwa kufanyika Kijiji Kwao Donge kesho baada ya sala wa adhughuriMwenyenzi Mungu Amlaze Mahala Pema Peponi Ameen....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 19 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News