Inna lillah wainna rajun.Dk.Malik Abdallah Juma Amefariki Dunia leo Asubuhi.

Innaa lillahi Wa Inna ilayhi rajiuwn. Dr Malik Abdallah Juma ameshafariki asubuhi hii. Maziko yatakua al asir kijijini kwao msonge (namba Saba).Tunauomba Allah amsameh makosa yake na amuigize peponi kwa rehma zake - ameen...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 23 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News