Iran Yasema Mashambulizi ya Kimtandao Yaliyofanywa na Marekani Dhidi Yake Yamefeli na Hayajaleta Madhara Yoyote

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa mashambulizi ya hivi karibuni ya kompyuta ya Marekani dhidi ya mfumo wa makombora wa Iran yameshindwa kuleta madhara na kwamba mwaka jana pekee Tehran ilifanikiwa kuvunja makumi ya mamilioni ya mashambulizi ya kompyuta dhidi yake.Waziri wa Habari na Teknolojia ya Mawasiliano wa Iran, Bw. Mohammad Javad Azari Jahromi ameandika leo Jumatatu katika mtandao wake wa Twitter kwamba vyombo vya habari vimeuliza iwapo mashambulizi ya kompyuta yanayodaiwa kufanywa na Marekani dhidi ya Iran yamefanyika au la? "(Napenda kujibu kwamba) wamejaribu sana lakini hadi hivi sasa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 24 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News