Jaji Mihayo aeleza mikakati kutangaza utalii

Na ASHA BANI -DAR ES SALAAM BODI ya Utalii Tanzania (TTB) imetengewa Sh bilioni 10.2 kwa mwaka 2019/20 kwa lengo la kutangaza utalii nje ya nchi na shughuli nyingine za kiutalii. Akizungumza jana Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Jaji Thomas Mihayo, alisema kiasi hicho cha fedha kitatumika kutangaza utalii katika nchi mbalimbali ili kuongeza watalii wanaotembelea Tanzania. “Fedha hizo mbali na matumizi ya ndani, ikiwemo mishahara ya wafanyakazi, zitatumika pia kutangaza vivutio vya utalii ndani na nje, lengo ni kufanikiwa zaidi kwa mwaka huu wa 2019/20,’’ alisema Jaji...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 11 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News