January Makamba Kafunguka Tena Baada ya Mawaziri Wapya Kuapishwa

Aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumuamini na kumteua kushika wadhifa huo.Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli (CCM), uteuzi wake ulitenguliwa jana Jumapili Julai 21 na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene.Kupitia ukurasa wake wa Twitter leo Julai 22, Makamba ameandika ujumbe wa kumshukuru Rais Magufuli saa chache baada ya kuwaapisha Waziri Simbachawene na Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye amechukua nafasi ya...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 22 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News