Je Arsenal watavunja mwiko wa kutokushinda michezo miwili mfululizo ugenini

Arsenal mara yao ya mwisho kutia mguu St James’ Park walitandikwa mijeledi 2-1. Safari hii Unai Emery anawapeleka tena vijana wake kupimana ubabe na vijana wa Rafa Benitez siku ya kesho. Washika mitutu hawa wa London (The Gunners) msimu huu wameruhusu mabao 8 kwenye mechi 4 za mwanzo. Mechi ya mwisho Arsenal wameshinda kwa tabu sana kwa Cardiff mabao 3 kwa 2. Kabla ya likizo fupi ya michezo ya kimataifa. Newcastle takwimu zake zipoje? Newcastle wameifunga Arsenal mara mbili tu katika michezo 23 ya mwisho ya mashindano yote (D5, L16)....

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News