Jenerali Mabeyo awaonya wanaotoa kauli za uchochezi

Maregesi Paul Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, amesema hivi sasa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linafuatilia kwa karibu kauli za uchochochezi zinazotolewa na baadhi ya watu nchini. Jenerali Mabeyo ametoa kauli hiyo mjini hapa leo Jumamosi Aprili 13, wakati akizungumza kwenye uzinduzi wa mji wa Serikali katika eneo la Mtumba mjini Dodoma mbele ya Rais Dk. John Magufuli. Ingawa hakutaja kauli hizo za uchochezi zinatolewa na akina nani, Jenerali Mabeyo alisema JWTZ liko tayari kukabiliana na tishio lolote la amani nchini. “Pamoja na hayo,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Saturday, 13 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News