Jeshi la Zimamoto lawataka wamiliki magari ya abiria kuondoa mabomba dirishani

Jeshi la Polisi Kikosi cha Zimamoto na Uokoaji limewataka wenye vyombo vya usafiri kuyaondoa mabomba waliyoweka kwenye madirisha ya magari ya abiria kwani iwapo ajali itatokea  madirisha hayo yanatumika kama mlango wa dharura....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News