Jeshi, Mahakama wagomea amri za Rais Duterte

 Rais Rodrigo Duterte anakabiliwa na shinikizo kutoka taasisi na jeshi juu ya amri alizotoa akitaka kukamatwa mkosoaji wake mkubwa Antonio Trillanes ambaye amejificha katika jengo la Seneti kwa muda karibu wiki mbili ili kuepuka kukamatwa....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 14 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News