JKU yatwaa Ubingwa wa ligi kuu Visiwani kwa tabu sana.

Hatimaye ligi kuu Zanzibar imekamilika baada ya klabu ya JKU kutetea ubingwa wa soka visiwani kwa msimu wa 2017/18 baada ya kutoa kichapo kwa Jamhuri mabao 3- kwenye mchezo uliopigwa jioni ya leo 3-1, kwenye uwanja wa amani. Mabao mawili kutoka kwa Salum Mussa mnamo dakika ya 2 na 70 na msumari wa Posiana Malik kunako dakika ya 36 yalihitimisha ndoto za JKU kumyakua ubingwa wa ligi kuu ya Zanzibar mara ya pili mfululizo. Mkufunzi mkuu wa JKU Hassan Pele alisema kuwa klabu yake walifanya maandalizi makubwa ndio sababu msimu...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News