Jokate Mwegelo Aipiga Faini Kampuni Kwa Kukiuka Agizo la Naibu Waziri

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya hiyo, Jokate Mwegelo, ameichukulia hatua kampuni ya Rak Kaolin, ambayo imekuwa ikijihusisha na uchimbaji wa madini ya Kaolin licha ya kuzuiliwa na Naibu Waziri wa Madini Madini Stanslaus Nyongo.Jokate na Kamati yake walibaini kitendo hicho cha mwekezaji kuendelea kuchimba madini hayo kwenye zoezi la ukaguzi lililofanyika Septemba 06-07 mwaka huu katika maeneo mbalimbali ya shughuli za uchimbaji wilayani humo.Taarifa ya wilaya hiyo imeeleza kuwa ukaguzi huo ulifanikiwa kukamata malori matatu yenye jumla...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News