JPM AAGIZA TAKUKURU IFUMULIWE

KIAPO: Rais Dk. John Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana Rushwa nchini (TAKUKURU), Ikulu ya Chamwino Dodoma jana. Picha na Ikulu Na MWANDISHI WETU – DODOMA RAIS Dk. John Magufuli amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kamishna wa Polisi (CP) Diwani Athumani, kufumua muundo wa taasisi hiyo ili watendaji wanaojihusisha na rushwa wachukuliwe hatua. Alitoa kauli hiyo jijini hapa jana baada ya kumwapisha CP Athumani kuwa mkurugenzi mpya wa Takukuru ikiwa ni siku chache tangu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 12 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News