JPM aitaka ATCL kupunguza matumizi

Bethsheba Wambura, Dar es Salaam Rais Dk. John Magufuli, amelitaka Shirika la Ndege nchini (ATCL) kupunguza gharama za uendeshaji zisizo za msingi. Ameyasema hayo leo Ijumaa Januari 11, alipokuwa akihutubia viongozi mbalimbali na umati wa wananchi wa jiji la Dar es Salaam waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa zamani (Terminal 1) katika mapokezi ya ndege mpya iliyotua leo ya Airbus 220-300 Ngorongoro. “Mpunguze matumizi ya hovyo, mhakikishe kila biashara mnayofanya iwe na faida hatutaki biashara za hasara hapa, na mjue ndege hizi tumewaazima mkileta mzaha tutawanyang’anya. “Kuna wakati ndege za...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 11 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News