JPM akerwa wabunifu umeme kutosaidiwa

RAIS John Magufuli ameeleza kusikitishwa na kitendo cha Shirika la Ugavi wa Umeme nchini (Tanesco), kushindwa kuwasaidia John Mwafute na Jairos Ngairo ambao ni wabunifu wadogo wa mitambo ya kufua umeme. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Rais Magufuli ameeleza hayo leo tarehe 13 Juni 2019, baada ya Mwafute na Ngairo kumlalamikia kwamba, wamekosa msaada kutoka ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Thursday, 13 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News