JPM amekubali kukutana na viongozi wa vyama – Mbatia

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema Rais Dk. John Magufuli amekubali kukutana na kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa na wa dini kuhusu mustakabali wa taifa. Mbatia ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), alitoa kauli hiyo juzi muda mfupi baada ya kufanya mazungumzo na Rais Magufuli Ikulu Dar es Salaam. “Tumezungumza na Rais Magufuli mambo ya msingi kuhusu taifa letu, tulikuwa tumeomba tangu mwaka jana na mwaka juzi sisi ndani ya TCD kwa kuwa Tanzania ni yetu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News