JPM AMGOMEA WAZIRI

DERICK MILTON, MEATU RAIS Dk.John Magufuli amekataa ombi la Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ambaye pia ni Mbunge wa Kisesa mkoani Simiyu la kutaka jimbo lake liwe halmashauri. Rais Dk.Magufuli alisema kuanzisha maeneo mapya ya utawala kumekuwa kukiongeza gharama za uendeshaji. Alisema ni bora fedha hizo akazitumia kuwaletea wananchi maenedeleo kuliko kuongeza halmashauri. Rais Magufuli alitoa kauli hiyo jana katika mji wa Mwandoya wilayani Meatu aliposimama kusalimia wananchi, wakati wa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo. Awali Mpina alimwomba Rais Dk. Magufuli kuwapatia halmashauri wananchi wa Kisesa kutokana...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News