JPM amtia ndani mtumishi, amtoa baada ya dakika tano

Na ELIZABETH HOMBO-DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amemwagiza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, kumweka ndani mtoza ushuru aliyemtaja kwa jina moja la Pesha na baadaye ndani ya dakika tano akaagiza tena aachiwe. Alitoa agizo hilo jana wakati aliposimama na kuzungumza na wananchi katika mji wa Kyaka mkoani Kagera akielelekea Karagwe. Alichukua uamuzi huo baada ya baadhi ya wamachinga kulalamika kuwa pamoja na kwamba wana vitambulisho, lakini bado wanatozwa kodi na mtu anayeitwa Pesha. Kutokana na hali hiyo, Rais Magufuli alimwita Mkurugenzi wa Wilaya, akimtaka aeleze kwanini wanawatoza...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News