JPM ateta na kachero nguli

*Ni aliyekuwa Mkurugenzi wa usalama enzi za Mkapa na Kikwete Na Mwandishi Wetu RAIS Dk. John Magufuli, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Apson Mwang’onda, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, Apson amesifia utendaji kazi wa Rais Magufuli. Taarifa hiyo ilisema baada ya mazungumzo ya wawili hao, Apson alimshukuru Rais Magufuli kwa kukubali ombi lake la kumwona na kuzungumza nae. Kwa mujibu wa taarifa hiyo Apson alimpongeza Rais...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 7 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News