JPM atoa maagizo ajali iliyoua 19 Songwe, ndugu wasimulia kauli za mwisho

Vilio, majonzi na simanzi jana vilitawala katika chumba cha kuhifadhia maiti Hospitali ya Mkoa wa Songwe wakati ndugu walipofika kutambua miili ya wapendwa wao 19 waliofariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea juzi usiku....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News