JPM atuma salamu za rambirambi vifo vya watu 19 Songwe

RAIS John Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza ndugu na jamaa zao katika ajali ya barabara iliyotokea wilayani Mbozi mkoa wa Songwe jana tarehe 21 Februari 2019.Anaripoti Bupe Mwakiteleko…(endelea). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Gerson Msigwa, Rais Magufuli amemtaka Mkuu wa Mkoa wa Songwe , ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Friday, 22 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News