JPM AWAKUMBUKA WASIRA, LIMBU

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli amemteua waziri wa zamani katika serikali ya awamu ya nne, Stephen Wasira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Taarifa iliyotolewa na Ikulu jana, ilieleza kuwa Wasira anachukua nafasi ya Profesa Mark Mwandosya. Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua Dk. Festus Bulugu Limbu kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (National Economic Empowerment Council – NEEC). Dk. Limbu anachukua nafasi ya Dk. John Jingu ambaye ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News