JPM AWATIA PRESHA VIGOGO

Na MWANDISHI WETU ZIARA ya kikazi ya siku saba anayoifanya Rais Dk. John Magufuli katika mikoa ya Mwanza, Simuyu na Mara inaonekana kuwaweka katika wakati mgumu baadhi ya vigogo wa serikali. Ziara hiyo ambayo Rais ameweka mawe ya msingi, kufungua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wananchi kupitia mikutano ya hadhara imekuwa mwiba kwa baadhi ya watendaji wa serikali. Tayari baadhi ya watendaji  wametumbuliwa katika nyadhifa zao,  wengine kushikiliwa na jeshi la polisi kwa uchunguzi lakini pia wapo waliojikuta katika wakati mgumu wa kutoa ufafanuzi mbele yake juu...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News