JPM: MBARAWA CHUKUA HATUA KALI KWA WATENDAJI WAKO

Na CLARA MATIMO- SIMIYU RAIS  Dk. John Magufuli, amemwagiza Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa, kuwachukulia hatua kali watendaji wa wizara hiyo ambao wamekwamisha miradi inayotekelezwa  na serikali katika maeneo mbalimbali nchini. Rais Magufuli alitoa agizo hilo juzi, wilayani Busega mkoani Simiyu, baada ya kuweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa mradi wa maji na usafi wa mazingira mjini Lamadi unatekelezwa na serikali  kupitia  mpango wa uboreshaji wa huduma za majisafi na usafi wa mazingira wa Ziwa Victoria kwa gharama ya Sh bilioni 12.83. Alisema  hadi sasa ni...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News