JPM: Ndege za Rais zibebe abiria

AZIZA MASOUD Na AGATHA CHARLES RAIS Dk. John Magufuli, ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, kuzipaka rangi ndege mbili kati ya tatu zinazotumiwa na Rais ili zitumiwe na Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kusafirishia abiria. Kauli hiyo aliitoa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana wakati akipokea ndege mpya ya sita aina ya Airbus A220-300. Magufuli alisema ndege hizo ambazo ni Fokker 28 na Fokker 50, zilizonunuliwa kwa ajili ya matumizi ya Rais zinapaswa kuungana na nyingine sita zilizopo kwa ajili ya kusafirisha abiria maeneo mbalimbali. “Rais mwenyewe kwanza hatembei...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News