JULIO AJITOSA UCHAGUZI MSIMBAZI

NA ZAITUNI KIBWANA KOCHA na mchezaji wa zamani wa Simba, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amedhamiria kuchukua fomu ili kuwania moja ya nafasi katika Uchaguzi Mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika Novemba 3, mwaka huu. Akizungumza na BINGWA jana, Julio alisema baadhi ya wanachama wa Simba wamekuwa wakimshawishi kugombea nafasi yoyote kwenye uchaguzi huo kutokana na uzoefu alionayo. “Nitachukua fomu kama nitaona waliojitosa kwanza, kuna baadhi ya wanachama wamejitokeza kunishawishi kufanya hivyo, bado naendelea kuvuta kasi kuona kama msukumo utakuwa mkubwa nitajitosa kuchukua fomu. “Si lazima kuchukua fomu kuwania nafasi za juu kama...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Monday, 10 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News