Kada BAVICHA atoweka, Chadema wahaha kumsaka

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa wito kwa Jeshi la Polisi, vyombo vya dola na wananchi kumtafuta Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema (BAVICHA) wilayani Ilala, Michael Kapama aliyetoweka kwa siku tano sasa. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza na MwanaHALISI Online kwa njia ya simu, Katibu wa BAVICHA wilaya ya Ilala, Gevas ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News