kadi za CCM haziuzwi wala sio kibali cha kutoa ajira bali zinapatikana kwa utaratibu uliowekwa Kikatiba -Catherine Peter..

Na.Is-haka Omar - Zanzibar.KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi na Uenezi CCM Zanzibar ndugu Catherine Peter Nao amesema kadi za CCM haziuzwi wala sio kibali cha kutoa ajira bali zinapatikana kwa utaratibu uliowekwa Kikatiba.Amesema serikali inatoa ajira kwa utaratibu wake iliyojiwekea kwa kuangalia vigezo na sifa za kitaaluma walizonazo waombaji wa ajira hizo lakini sio kwa vigezo vya kuwa na kadi ya Chama Cha Mapinduzi.Amefafanua kwamba sharti la msingi kwa mtu yeyote kupata kadi ya CCM ni lazima apewe mafunzo ya Itikadi kwa muda wa  miezi mitatu na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News