Kagere: Niyonzima madini, msimchukulie poa!

PAMOJA na Haruna Niyonzima kukosa nafasi ndani ya kikosi cha Simba, unaambiwa huko kwao Rwanda ni habari ya mjini na ndiye atakayevaa beji leo Jumapili wakati Amavubi ikivaana na Ivory Coast katika mechi ya kuwania fainali za Afcon 2019 kule Cameroon....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News