Kagere yeye ni mabao tu afunga tena Rwanda

Mshambuliaji wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere ameendeleza makali yake ya kufumania nyavu baada ya kuifungia timu ya Taifa ya Rwanda 'Amavubi'  bao la kufutia machozi dhidi ya Ivory Coast walipochapwa mabao 2-1....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News