Kahata: Nakuja Tanzania

NA HUSSEIN OMAR WAKATI dirisha dogo la usajili likifunguliwa jana kiungo wa Gor Mahia, Francis Kahata, ametamka wazi kuwa muda wowote kuanzia sasa atakuja Tanzania. Kahata ambaye anatambulika uwanjani kutokana na uwezo wake na kuutumia vizuri mguu wake wa kushoto, pia ana uwezo wa kucheza winga zote hasa kiungo mshambuliaji (namba 10). Kiungo huyo alikuwa kwenye rada za Simba na Yanga kwa muda mrefu huku Wekundu wa Msimbazi wakionekana kuwa na nafasi kubwa kumnasa kutokana na jeuri ya fedha za bilionea wao, Mohammed Dewji ‘Mo’. Akizungumza na BINGWA jana kutoka...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Thursday, 15 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News