Kahata rasmi ataja kutua Simba

NA WINFRIDA MTOI KIUNGO mshambuliaji wa Gor Mahia, Francis Kahata, ameweka wazi kuwa mkataba wake na kikosi hicho unamalizika mwezi ujao na kuitaja Simba moja ya timu anayoweza kutua. Mchezaji huyo alianza kufukuziwa na Simba hata kabla ya Meddie Kagere, lakini kilichokuwa kinambana nyota huyo ni mkataba wa Gor Mahia waliokuwa wanahitaji dau kubwa kuvunja. Jana katika ukurasa wake wa ‘Facebook’, Kahata, aliandika kuwa mkataba wake na kikosi hicho unaelekea ukingoni, imefikia hatua ya kutafuta changamoto sehemu nyingine.  “Mkataba wangu unafikia ukingoni Juni, mwaka huu, nimetwaa mataji matatu nikiwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 25 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News