Kaheza, Mo Rashid wamalizana na Simba

NA HUSSEIN OMAR UONGOZI wa Simba umemalizana na washambuliaji wao, Marcel Kaheza na Mohammed Rashid ‘Mo Rashid’ na wanaweza kuachana na timu hiyo. Nyota hao tangu wasajiliwe na Simba wameshindwa kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza cha Mbelgiji, Patrick Aussems na kujikuta wakiozea benchi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, Mo Rashid, alikiri kumalizana na viongozi wa Simba na kudai huenda akaibukia timu yake ya zamani ya Tanzania Prisons. “Nimemalizana na Simba kila kitu kipo vizuri kuanzia masuala ya masilahi hadi mengine ya kiutawala, ni wakati wangu mwafaka kutafuta changamoto nyingine kwa...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Wednesday, 14 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News