Kaimu Rais atuliza hofu Simba

Kamati ya uchaguzi ya klabu ya Simba chini ya makamu mwenyekiti wake Stephen Ally imethibitisha kukamilika kwa zoezi la uchukuaji fomu za kugombea katika klabu hiyo huku anaekaimu nafasi ya Rais Salim Abdallah ‘Try Again akiwa hajachukua fomu. Wadau wengi wa klabu ya Simba walikuwa wanaamini kaimu Rais wa klabu hiyo Salim Abdallah angechukua fomu ya kugombea nafasi ya urais lakini haijawa hivyo. Baadhi ya mashabiki wamekuwa na wasiwasi kwamba nani anaweza kuipa mafanikio Simba kama ilivyokuwa chini ya Try Again. Lakini Try Again amewatoa hofu wanasimba kwa kusema bado...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News