Kaka Amuua Dada Yake Baada Ya Kumfumania Nyumbani Kwao

NA SALVATORY NTANDUMkazi wa  kijiji cha Bugoshi,kata ya Uyogo halmashauri ya  Ushetu Daudi Bundala anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma ya  kumua dada yake Suzana Bundala(21) kwa kumpiga kitu kizito kichwani na kumsababishia kifo,baada ya kumkuta akiwa amelala na mpenzi wake nyumbani kwao.Kamanda wa  polisi mkoa shinyanga (ACP) Richard Abwao amethibitisha kutokea kwa tukio hilo nakusema tukio hilo lilitokea julai 12 mwaka huu saa tano usiku katika kijiji cha Bugoshi,kata ya Uyogo tarafa ya Mweli wilaya ya kipolisi Ushetu.Amesema, chanzo cha tukio hilo ni marehemu kukutwa akiwa na mpenzi...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Monday, 15 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News