Kaka wa Kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliyeuawa alikuwa jasusi wa CIA

Kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini aliuawa baada ya kubainika kuwa ni jasusi wa shirika kuu la kijasusi la Marekani CIA.Kwa mujibu wa gazeti la Wall Street Journal,  Kim Jong-nam, kaka wa kambo wa Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un aliuawa kwa sumu akiwa safarini nchini Malaysia mwaka 2017.Gazeti hilo limechapisha ripoti hiyo Jumatatu na kusema limedokezewa hayo na mtu mwenye taarifa kamili kuhusu tukio hilo. Gazeti hilo limedokeza kuwa, kulikuwa na mawasiliano baina ya CIA na Kim Jong-nam.Uchunguzi uliofanywa na Malaysia kuhusu kesi hiyo mwaka jana uligundua...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - 5 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News