Kakolanya: Nitampoteza vibaya Manula

NA ZAINAB IDDY   SAA chache baada ya Simba kusambaza picha zinazomwonyesha Benno Kakolanya kusaini mkataba na Wekundu wa Msimbazi hao, kipa huyo ameahidi kumpoteza mpinzani wake, Aishi Manula. Tetesi za Kakolanya kusaini mkataba Simba, zilianza kuvuma muda mrefu, lakini hatimaye jana Wekundu wa Msimbazi hao wamevunja ukimya na kuthibitisha kumpa mkataba wa miaka miwiki ‘nyanda’ huyo. Akizungumza na BINGWA jana, Mtendaji wa Mkuu wa  Simba (CEO), Crescentius Magori, alisema kuwa huo ni mwendelezo wa kuwaonyesha Wanasimba wachezaji ambao ni mali yao kuelekea msimu ujao. “Jana (juzi) nilisema katika mkutano...

read more...

Share |

Published By: Bingwa - Saturday, 15 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News