Kamati ya Maadili ya Bunge Yapendekeza Mbunge wa Shinyanga Mjini Stephen Masele Asimamishwe mikutano mitatu.....Ndugai Awaomba Wabunge Wamsamehe

Spika Ndugai amependekeza Mbunge wa Shinyanga Mjini, na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) Stephen Masele asamehewe Awali Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge ilipendekeza asimamishwe kutohudhuria mikutano mitatu ya Bunge kuanzia leo Alhamisi Mei 23, 2019.Mbunge Masele akijitetea Bungeni amesema;  “Nitumie nafasi hii kuomba radhi kwa Viongozi wangu wote waliopata usumbufu katika sakata hili akiwemo Rais Magufuli, sikuchonganisha mihimili bali nilikata rufaa baada ya Spika kuniandikia barua ya kunisimamisha bila hata ya kuniuliza lolote” Masele alihojiwa na kamati hiyo Jumatatu Mei 20 mwaka huu akituhumiwa na Spika wa...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Thursday, 23 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News