Kamishna wa TRA anusurika ajalini Dodoma

KAMISHNA wa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA), Charles Kichere amepata ajali asubuhi ya leo tarehe 11 Septemba 2018 mkoani Dodoma baada ya gari lake kugongana na gari jingine. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, RPC Girres Muroto amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo akisema kuwa, hakuna mtu aliyepoteza maisha katika ajali ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News