Kamishna Wa TRA Apata Ajali Dodoma

Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Kichere amepata ajali leo Jumanne, Septemba 11, 2018 baada ya gari lake aina ya Toyota Land Cruiser V8 namba STL 5199 kugongana na gari dogo la mtu binafsi lenye namba za usajili T 416 BTH, eneo la Nanenane, jijini Dodoma.Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa PolisiĀ  Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto, amesema, ajali hiyo imetokea na kwamba hakuna madhara kwa binadamu bali ni uharibifu wa magari ndio umetokea.Gari la Mamlaka ya Mapato lilikuwa likitokea Morogoro kuelekea Dodoma ndipo lilipogongana na gari...

read more...

Share |

Published By: Mpekuzi Huru - Tuesday, 11 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News