Kampuni ya KCL, Agri-Ajira zajitosa kwenye kilimo

Mwandishi Wetu Kampuni ya Agri-Ajira imewapa changamoto ya kujitosa kwenye kilimo cha biashara Kampuni ya KCL Ltd. kutokana na mafanikio waliyopata ikiwamo kujiajiri. Kampuni hiyo inayoundwa na vijana wawili, Ibrahim Charles na Samwel Jonathan, imekuwa chachu kwa Kampuni ya KCL Ltd na vijana wengine nchini kutokana na kuthubutu kwao na kuwa mfano kwa vijana baada ya kujitosa kwenye kilimo na kulima kwa mafanikio makubwa ekari 50 za mpunga katika Kata ya Rutinda, Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro. Vijana hao kutoka katika kampuni hizo mbili wamekutana leo katika Siku ya Mavuno...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Thursday, 11 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News