Kampuni ya ZANTEL Tanzania Yapata Vyeti Vya Kimataifa Vya ISO Kuhusu Mazingira ya AFYA na Ustawi Mahala Pa Kazi

Na.Mwandishi Wetu.Kampuni ya mawasiliano ya Zantel, imepata vyeti 2 vya ubora wa kimataifa (ISO), kutokana na kukidhi vigezo vya kimataifa katika  kutekeleza kwa ufasaha kuendesha biashara zake kwa kuzingatia utunzaji wa mazingira  (ISO 14001:25),na cheti kipya cha utekelezaji wa  mifumo ya Afya na Usalama mahali pa kazi (ISO 45001:2018).Mafanikio haya ni mwendelezo, mwaka jana mwishoni baada ya kufanyiwa ukaguzi ilipata cheti cha kimataifa cha ISO kutokana na kukidhi vigezo vya utekelezaji mifumo ya Afya na Usalama Mahali pa Kazi kwa ufasaha (OHSA 18001:2007).Kutokana na ukaguzi huo, ilibainika inatekeleza vizuri mifumo ya Afya na...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 15 April

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News