KARDINALI PENGO: NAELEKEA KUCHOKA

SALAMU: Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, akisalimiana na waumini wakati wa Ibada ya Misa Takatifu ya kumpokea msaidizi wake Askofu Mkuu Mwandamizi Yuda Thaddaeus Ruwa’ichi (kulia), iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph, Dar es Salaam juzi. Na AGATHA CHARLES ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amesema alimwomba Kiongozi wa kanisa hilo duniani Papa Francis  kumpatia msaidizi kwa kuwa anaelekea kuchoka. Kardinali Pengo alitoa kauli hiyo juzi jioni wakati wa ibada ya misa Takatifu ya...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Sunday, 9 September

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News